very true wanaume wengi wanafikiria kuteka attention ya mwanamke ni kumpa tu hela [emoji45] bro utawapata wale wadada dizain ya wa buguruni kimboka na mwananyanala kwa wahaya ambao bila pesa hawatoi huduma,but kwa mwanamke mwenye malengo anaangalia vitu vingi sana as mtoa thread alivyojaribu...
kama mko kwenye uchumba na anashindwa kuvumilia vitu kama ivyo basi usitegemee kuwa atakua mke imara katika ndoa maana hakuna nyumba isiyo na mikwaruzano kila familia ina matatizo yake
Habarini za mchana wapendwa naomba ushauri ngozi yangu ya miguuni inakakamaa sana [emoji17] [emoji17] [emoji17] nimeshajaribu kutumia baadhi ya lotions lakini naona tatizo liko palepale kwa sasa natumia Bio oil
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.