Recent content by Setry

  1. Setry

    Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

    Blessed 🙏🙏🙏,,,Nazidi kujifunza nakuelewa vyema mkuu
  2. Setry

    Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

    Daaaaah Mkuu shukran saan Haya ni Madini umetoa kaka🙏🙏🙏,,, lkn samahan nilikuw nakuomb nikusumbue kdg ujazie Nyama kuhusu Hii biashara ya Kununua hizo vitu TV na Freezer. Vp mtaji kikawaida nianzie kias gan? Tupatie hata A,B,C kdg ishu za malipo ya Kodi na usafirishaj kwa ujumla🙏🙏🙏🙏
  3. Setry

    Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Daaah tatzo nazo biashara za Ndan zinachangamoto Wateja kidogo Afu Kodi kubwa mwisho wa siku unajikuta mtaji wote Kwisha...
  4. Setry

    Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Shukran saana mkuu, na hii ni raha ya Jamiiforums kupeana Ideas za biashara🙏🙏🙏
  5. Setry

    Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Hii nayo nzuri mkuu ila cjajua pakuanzia maana sina utalaamu saana katk ufugaji
  6. Setry

    Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Kiongozi samahan naomba msaada kidg mim nataman kufanya Biashara ya Kuuza mchele maeneo ya Zambia maana mim ni mkulima Nalima mchele na Mahindi nlikuwa nataka kupata information kuhusu mfumo wa biashara hii kwa upande wa Zambia msaada tafadhar boss Wang🙏🙏🙏
  7. Setry

    Biashara ya mchele kutoa Tunduma kupeleka Zambia

    Mkuu sorry nakuomba unisaidie mawasiliano yako tutete kdg ndug, maana namim nataman kufany biashar zambia
  8. Setry

    Fursa zipi zinapatikana Tunduma?

    Mim ni mzaliwa wa hapa Tunduma ila kiukwel mim Pamenishinda Tunduma🙌🙌🙌🙌,,,, lkn nikiendag mikoa mingne Nakiamsha hatar.
Back
Top Bottom