Recent content by Sesc

  1. Sesc

    Premium netflix account

    Saw ni rahisi ila kwa mwezi ni Tsh 28,000 na vicent kadhaa Sasa bora kipi sjui kulipa tsh 3000 au tsh 28,000 kwa mwezi Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  2. Sesc

    Premium netflix account

    Mzee tuishie hapo kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyengine naomba unisamehe mm ni binaadam sio mkamilifu pengine nimekukosea maana kumbe nimegundua mjadala haukuwa kuelimishana...naomba msamaha wako[emoji120] Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  3. Sesc

    Premium netflix account

    Shida yako ni majina,...kwahyo ulizan nauza zile moded apa kina terrarium au?[emoji2][emoji1][emoji1787] Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  4. Sesc

    Premium netflix account

    Weee kumbe pumba sana Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  5. Sesc

    Premium netflix account

    Hehehuhuhhu Afu weee jamaa wee nilizani una point za msingi kumbe unazungumzia ku download movie torrent, Kwahyo apo ndo umearibu?[emoji16] Binafsi iyo sjaona sababu unazan ao wanaolipia $11.99 kwa kila mwez hawajui kama kuna torrent? Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  6. Sesc

    Premium netflix account

    Na nikwambie tu mzee ukija kwenye swala la data tulio wengi 2natumia night bundle kusha movie sio wote wanao2mia bando za kawaida kudownload movie Ttcl tsh 1000 unapata 10gb Halotel tsh 1500 unapata unlimited data Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  7. Sesc

    Premium netflix account

    I say watu bana maana ata sijaona kabsa ni point yako kuu asa maana kama kutumia netflix inahitaji data inaeleweka....movie pekee usotumia data ni zile anazoleta mtaani kina dj mark
  8. Sesc

    Premium netflix account

    Mzee hii ndo faida ya ultra hd account,kwa wakt mmoj wanatizama Na ukija kwenye swala la kunigharibia hunigharibii kwa sababu hizo basic ni nafuu zaid nimeweka ultra hd plan kwa sababu itakuwa kivutio kwa wengi la kama una suggest basic palan ni bora zaid pia ni bora kwangu
  9. Sesc

    Premium netflix account

    Usiwe mjadala basi nita change uzi from ultra kuwa basic plan[emoji16] Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  10. Sesc

    Premium netflix account

    Inawezakuwa hvyo ila sio kutumia kwa wakt mmoja Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  11. Sesc

    Premium netflix account

    Ni shajibu hiyo mzee ni kupata faida ya ku share acount nakuweza kutumia 4 people kwa wakt mmoja na faida yake kubwa,anyway hata hiyo basic mtu akiitaji atapatiwa maana nikiupande flani ni bora kwangu pia Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  12. Sesc

    Premium netflix account

    Hiyo Ultra plan ina faida ya kutumia account 1 watu wa 4 kwa wakati mmoja,ndo faida kuwa na ndo maana ni plan ambayo imepewa kipaumbele na wengi na si kwa resolution pekee na s wote wanaotumia hiyo plan kwa ajili ya resultion just ni kwa ku share,kusaidiana ghrama Sent from my SM-G965U using...
  13. Sesc

    Premium netflix account

    Mzee kuwa ultra hd plan,haina maana kama inatoa high resolution pekee (4k) inaanzia 480p resolution 4k ni faida ya hiy plan kama unaitaji 4k Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  14. Sesc

    Premium netflix account

    Haina haja ya acount ya benki yote ni juu yangu,ww ni -Tsh 3000 yako baada ya kazi kukamilika -Number yako ya sm incase umesahau pasword ili uweze kurudisha password au m2 kai dukua vitakusaidia kuirejesha Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  15. Sesc

    Premium netflix account

    Mzee haiko kama hivyo unavyozani Ku stream au ku download unachagua ww mwenyewe quality unayo hitaji kulingana na uwezo wako wa bando Bali ultra HD plan ina faida ya kutumia watu wa 4 kwa kila acount na wote wakawa na uwezo wa ku stream kwa wakti mmoja Sent from my SM-G965U using JamiiForums...
Back
Top Bottom