Recent content by served

  1. served

    Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Kama ni kweli sasa changamoto za ndoa angeziweza.
  2. served

    Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    UKIOA KUWA MWANAUME SIMAMA KAMA MWANAUME HAKIKISHA UNAISMAMIA FAMILIA YAKO. KUWA NA MAAMUZI THABITI SASA UMEOA UMEAMUA KUCHEPUKA KWA STAREHE ZAKO UNAENDA UNASAHAU FAMILIA HUITUNZI HUISAIDII KWA CHOCHOTE MWANAMKE ANAAMUA KUSIMAMIA KWA NAFASI YAKO UKIRUDI UNADHANI NI RAHISI KUSIMAMA TENA KAMA...
  3. served

    Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

    Kumbuka ni mkataba na anaweza kosa renewable.Aende kwenye 900k anapata mkataba permanent then anarudi zake TARURA bila mkataba wa Masimango.Na ni rahisi kwa kuwa zote ni taasisi za Umma
  4. served

    Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

    Aende halmashauri alafu akishathibitishwa kazini ataomba kuhamia TARURA AU TANROADS
  5. served

    Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Story yako inahuzunisha ila pia inamafundisho sana.Ila kilichokuja kukuangusha ni mahusiano(wanawake).Pole sana. Wewe ni mpambanaji sanaaa. Ushauri wangu uko ulikohamia angalia fursa ya biashara ya fani yako,Kwa sababu kupitia story yako unaifanya vizuri sana,deal with your passion.Kikubwa...
  6. served

    Course ya GEOGRAPHICAL information and REmote sensing

    Ni kozi nzuri tu,kwa experience kidogo niliyonayo unaweza kuajiriwa au kujiajiri(Tanesco,Idara ya Maji,Manispaa,TFS,TRA,NBS) na bado ni wachache.Wengi waliopo wana masters na short course.Kila lenye heri.
  7. served

    Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Karibu sana mimi nazalisha hapa hapa Tanzania naomba tuwasiliane,nimekupm mawasiliano yangu,Asante
  8. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Uko mkoa gani?
  9. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Nnakutumia tuwasiliane tu uniambie uko wapi.
  10. served

    Mafuta mafuta Halisi Ya Parachichi

    Habari wana Jamii forum Mafuta halisi ya parachichi yanapatikana kwetu. Yanasaidia kuondoa miwasho mwilini na kwenye nywele Yanatibu vidonda Yanafifisha michirizi Yanakukinga usiungue na mionzi ya jua(ukipaka hausikii kama jua linakuchoma) Bidhaaa asili ya kitanzania Bei zetu ni hizo Mls...
  11. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Hii ni kwa ekari moja
  12. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Kama utaridhia njoo pm ntakupa namba ya mawasiliano kwa karibu
  13. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Ni pines karibuni pm
  14. served

    Miti ya mbao inauzwa

    Miti aina ya Pines
Back
Top Bottom