Recent content by seroh star

  1. seroh star

    JamiiForums Tanzania Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Aanha kumbe ila huyu ndugu yangu anatafta kozi nzuri ya diploma akasomee
  2. seroh star

    JamiiForums Tanzania Hakuna Injili inayosimulia kinagaubaga mambo yote yaliyotokea siku ya ufufuko wa Bwana

    Haya ww una taka kusemaje hapo 😅 ndio hivyo roho ilifata mwili who knows maybe walinzi walizimishwa as you he is the saviour full of power hakutaka wale walinzi waone ili kupima imani wafuasi wake vzr je wanamuamini au wanaamini maneno yake kuwa siku ya tatu atafufuka
  3. seroh star

    JamiiForums Tanzania Hakuna Injili inayosimulia kinagaubaga mambo yote yaliyotokea siku ya ufufuko wa Bwana

    Sio imani tu ni ukweli kwa sababu roho haionekani kwani ww uhai umewah uona 😅😅mpaka nachoka kwani ww dini gani?
  4. seroh star

    JamiiForums Tanzania Hakuna Injili inayosimulia kinagaubaga mambo yote yaliyotokea siku ya ufufuko wa Bwana

    Na hapa asipo elewa kazi kwake 😅😅
  5. seroh star

    JamiiForums Tanzania Hakuna Injili inayosimulia kinagaubaga mambo yote yaliyotokea siku ya ufufuko wa Bwana

    😮‍💨 Kwani ww kinachofanya uishi ni nn?😅 Ushawahi ona roho? Mtu akisema akakata roho ana maana gani ?
Back
Top Bottom