Recent content by seriousman

  1. S

    JamiiForums Tanzania Office Secretary at TANROADS Tanga

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu mimi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Sawa kesho njoo msibani We ukiomba ushauri humu mbona hawakujibu ujiue? Miafrika ndivyo tulivyo. https://www.jamiiforums.com/threads/nikila-najingata.1595741/#post-31833871 Naomba wataalamu wanijibu kitaalamu ni husababisha kujing'ata wakati wa kula , kuanzia jana najing'ata mara kwa mara...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Thank you boss najitahidi kwa hilo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Asante kwa ushauri boss. Kuhusu kubanduana siwezi kulisemea sana, but yule jamaa ni swala 5 na process kaanzia kwao mke, mke kaja kuambiwa na wazee wake kwamba kuna jamaa anakuhitaji, sasa hapo ndio akaja kunishirikisha, kama binadamu niliona aolewe tu, nadhani hata kama ningekataa still...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Nashukuru mkuu. Ubarikiwe sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Usilolijua usipende kuwa shahidi boss. Relax ukitaka kuamini amini usipotaka pia sio crime
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Sitapenda hilo liendelee.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Dah hili swali gani mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Kabla hujanitazama mimi kwa kunihukumu jitazame moyoni kwako kama u msafi kuliko mimi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Mnisaidie ushauri namna ya kuachana na stress zinazonikabili. Niko na stress sana wakuu lakini naona mnaishia kunitusi na kejeli.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Mimi ni mjinga ila sujafikia kiwango cha upumbavu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Huwezi kuelewa boss. Kuna mambo yule mwanamke kanifanyia mpaka home mpaka siwezi kuandika humu. Huwezi kuelewa nilivyokua nikiishi nae, kama uliwahi kufiwa na rafiki au mtu wako wa karibu unaweza kuelewa vinginevyo utabaki kunitusi na kunikejeli tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Nisingependa hilo litokee. Natafuta namna ya kumfuta kichwani tu na hizi stress nazitoa vipi ipi niweze ku-move on
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mchepuko wangu ameolewa leo, nimekubwa na msongo wa mawazo

    Habari zenu wadau wa Jamiiforums. Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani. Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili. Suala liko hivi; mwaka jana Oktoba mpenzi (mchepuko) wangu alipata mchumba akaja kuniuliza nikubali au nikatae...
Back
Top Bottom