Recent content by Serengeti DC

  1. Serengeti DC

    Serengeti yatoa mikopo isiyo na riba zaidi ya milioni 136/-

    Hata kama mbuga nzima ikaondolewa watu wakapewa walime na kufuga kama hakuna ubunifu tutasubiri sana,na hifadhi ya serengeti ni urithi wa dunia
  2. Serengeti DC

    Serengeti yatoa mikopo isiyo na riba zaidi ya milioni 136/-

    Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imetoa mkopo usio na riba yenye kiasi cha Tsh. Milioni 136,374,130/- kwa vikundi 28 vya wanawake,vijana na watu wenye walemavu ikiwa ni mkopowa wa asilimia 10% za makusanyo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023. Akizungumza katika hafla fupi...
  3. Serengeti DC

    Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kukagua na kupokea madarasa 58 Serengeti

    Mkuu wa mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee ameanza Ziara ya kukagua na kupokea vyumba 58 vya Madarasa vikiwa na samani zake Katika shule 21 za sekondari zilizogharimu kiasi cha Billion 1.16 zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita ,ziara hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku Mbili...
  4. Serengeti DC

    Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

    Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
  5. Serengeti DC

    Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

    https://serengetidc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-serengeti-3
Back
Top Bottom