Zingatia CV yako yakuombea kazi mwalimu. Hukueleza uwezo wako wakutatua changamoto na kuhandle pressure ukiwa kazini? Kama ulieleza, kuweka mambo ya kazini mitandaoni ni hatua ya ngapi baada ya zingine kushindikana?
Nawasalimu nyote.
Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha.
Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo wakazi wahapa wanaweza kupata bidhaa ndogo ndogo ambazo kwa kawaida hupatikana magulioni. Ili kupata...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
Mwanzo nilikuwa naomba kwa ku create transfer vacancy ikawa inagoma kwa kuandika "not budgeted", ila baada ya kupitia uzoefu wa watu humu nika delete ile transfer nakuomba kupitia normal transfer naona imekubali kwenda. Ngoja nijaribu kusikilizia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.