Ukiona mvi ujue busara ipo. Pia hana njaa Bali alitaka kutoa mchango wake kwa taifa hili. Hawezi kuoganaiz vurugu maana vurugu alizifanya kagera vitani
Nilitoa mahari 1.2M na ndoa ikawa na migogoro kibao. Mbaya zaidi ukweni hawajanisaidia ktk masuluhisho. Mimi naona ni vema wanaume tuanze mgomo wa kutoa mahari Leo. Hakuna faida yoyote katika dunia ya 50 kwa 50.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.