Recent content by seny

  1. S

    Kuweni Makini na Tigo

    Pole ila kama ni wakala mzoefu lazima uangalie muamala unaokuja katika simu yako maana una tarehe mwaka na mwezi pia. Na ukipokea msg sio unatoa pesa apo apo lazima usibiri uone mabadiliko huu wizi kweli upo pole sana jamani nikuwa makini ukiona kitu auelewi piga huduma kwa wateja wakuangalizie...
Back
Top Bottom