Recent content by Senir

  1. Senir

    Hivi pweza ni bei gani pale Kivukoni?

    Habarini wadau, nimejaribu kufatilia hii thread mana nafikilia kufanya hii biashara ya pweza wa vipande yaani mezani kama ilivyo dar es salaam na sehemu nyingine. kwasasa nipo songea sasa kuna maswali nakosa majibu naombeni msaaada wenu: 1. Bei ya pweza mmoja mwenye kilo 1 au 2 mbichi pale...
  2. Senir

    Msaada juu ya soko la mahindi na soya

    Habari wakuu, Mimi ni kijana mpenda mabadiliko ambaye nimeamua kugeukia sekta ya kilimo na kujaribu kuwekeza humo. Nimeanza mwaka huu kwa kupanda Mahindi na Soya kwa kilimo cha kisasa lakini bado nakuwa na maswali ya kujiuliza ninayokosa majibu maana kwa ushauri niliopewa ni kwamba nafaka...
Back
Top Bottom