Recent content by Senior pro

  1. Senior pro

    JamiiForums Tanzania TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

    habari hizi za uzushi zitaiondolea hadhi yake Jamii Forum, mtu unaanzaje kupika jambo ambalo halipo. ukweli ni kwamba TTCL tupo vizuri na kila Mfanyakazi amelipwa mshahara tena mapema kabla ya pay date ili kutuwezesha Wafanyakazi kusherehekea sikukuu vizuri. acheni majungu jamani
Back
Top Bottom