Recent content by senior man

  1. senior man

    Mwenzenu nimuanza mwaka 2020 vibaya sana

    Wewe ulishawahi kuachwa ukawa Malaya? -
  2. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Mkishakuwa nyuma ya keyboard mnajifanya wajuaji sana kama kweli unajiamini tokeza hadharani tukuone.
  3. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Ukishaishiwa hoja unakimbilia vitu vya kijinga , niwe mtoto niwe ajuza kama wewe haiondoi ukweli. Utabaki kuwa mpinzani milele lazima tutamuongezea muda ili uzidi kuumia roho
  4. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Nimekasirika au nimekwambia ukweli? Wee ni mfuasi wa viongozi wa kiisilam anapokuwa mkristo lazima umpinge nani asiyekujua? Umejaa udini mpaka sehemu zako za siri. Kipindi cha kikwete hukuwahi kusema ikulu ni mali ya waislam lkn kwasbb aliyepo ikulu kwasasa si wa imani yako umethubutu kusema...
  5. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Hata hivyo haiwahusu wangewahi kumchukulie Mbowe fomu angalau hilo linawahusi
  6. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Hahahaa! Ndio umekimbilia huku? Ni dalili za kushindwa, tulia tufanye yetu
  7. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Kwani mbowe aliwatuma mkamchukulie fomu? Mwenye kiherehere hapa ni nani? Nimekuitaka?
  8. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Kwani kipindi hicho alikuwa Ràis? Hakuuza kwa utashi wake ilikuwa ni utekelezaji wa maazimio ya baraza la mawaziri kama waziri wa ujenzi ....haina mshiko tulia tufanikishe mpango
  9. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    mjanja wa kijiji Vijana wote wenye mapenzi mema na nchi yetu
  10. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Vyovyote vile bado huwezi kushindana na nguvu ya umma, watu woote kasoro wewe tu wanamkubali Rais wetu na hili lazima liwe ili uzidi kuumia roho fisadi wewe
  11. senior man

    Shime shime vijana tujitokeze kushinikiza Bunge libadili Katiba ili kuongeza muda wa Urais

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kila mwenye nia njema na Taifa hili anaelewa Mh. Rais anavyoingoza Nchi. Ni Rais wa watu wote mwenye dhamira ya kweli kuleta maendeleo halisi nchini. Mengi amefanya kwa muda mfupi na mengi yanaendelea kufanywa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ningependa...
  12. senior man

    Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Hata mkijidanganya kumchukulia form nina wahakikishia uchaguzi ujao hamtapata hata viti vitatu vya ubunge, tunze haya maneno ..Magufuri ameshawamaliza kitambo mmebaki jina tu
Back
Top Bottom