Hiyo ni kawaida utabana mwisho utaachia, ref: South Africa, makaburu walibana miaka mingapi, yupo mwanaccm itatokea atakuwa mcha Mungu wa kweli atasema sitaki hizi dhuruma na haya mauaji .
Fungua kesi mkuu, sio kukaa kimya na ulitakiwa kutoka nje kupiga kelele mpaka akamatwe mwizi wa mali za taifa ila bado hujachelewa.Kuna jamaa alimuuliza hakimu hivi wewe hakimu unanihukumu kwenda jera miaka yote hiyo kwani wewe hujawahi kukosea? Na wewe hauna tofauti na huyo jamaa.
Mungu ana maajabu yake, hakuna aliyetarajia jpm ataondoka kama alivyoondoka malalamiko yalikuwa ni mengi sana juu ya kuminywa kwa haki za watu, tuwe wavumilivu Mungu atanyoosha njia na wote tutakuwa salama.
Ikiletwa hoja ukumbini ukaona mtu amechomekea mambo ya dini situka jua huyo ni mtu maalumu kaja kwa makusudi kupunguza speed ya uzi na hao watu wapo humu kwa kazi hiyo na wanalipwa posho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.