Recent content by Sengimisoji

  1. Sengimisoji

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Sawa asante ngoja nirudi hospital
  2. Sengimisoji

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Asante
  3. Sengimisoji

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Asante
  4. Sengimisoji

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Lkn wiki 24 bado wanaweza kuishi kweli?? Kwahali niliyonayo naweza kufikisha wiki 28 kweli ili tuwaokoe watt au ndio haiwezekani,? Kupoteza uhai dah
  5. Sengimisoji

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa afya nisaidieni mawazo!!

    Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni. Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo limekazana kuvuta chini ya kinena, ndo kufanya untrosound majibu yametoka na placenta privia imeziba...
  6. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Pond naomba unitang kwenye huo uzi nisome niburudike, nilikuwa busy na majukumu sijaiingia kitambo humu,.
  7. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    Mm naomba kujua majay bado mnaendelea,[emoji1666]
  8. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muonekano upi wa mwanamke hukupatia mwashawasha wa kufanya naye mapenzi (kumtamani)?

    [emoji1787][emoji12] Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  9. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

    Barikiwa mkuu napenda kusoma mabandiko yako[emoji122] Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  10. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

    Aiseeee nimemis Sana kumsoma ma Jay lini utaandika vituko vyake mkuu[emoji122] Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  11. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Asante ubarkiwe.
  12. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Pole Sana,Niko eneo la garage watu ni wengi siwez acha fursa yakuwauzia maji na soda eti kisa duka la spea hapauzwi vocha na maji
  13. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Haaaah mm Niko kisesa mkuu.
  14. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Kweli nampenda saana,nateseka sio kitoto kwa hii hali, nataman hata angeongea kitu lkn ndio kakaa kimyaaa tu.
  15. Sengimisoji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi tulieachana kuja dukani kila mara?

    Sasa kwann aje ofcn kwangu jmn,kumuacha sio inshu shida nikimuona akili inaanza upya kumfikiria.
Back
Top Bottom