Recent content by Senanjua

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    mimi niliangalia nyuma router nika log in ikakubali
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa ambao tayari wametumia hii bidhaa ya Vodacom naomba mtupe mrejesho.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man City ❌
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa mbuzi nimewapa watoe goli moja ila mpaka sasa naona wanaruka ruka tu. Milan - Juventiu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Natumkia kifurushi cha 70,000 kwa airtel. Ila speed kwa sasa iko hapo japo kuna wakati inapanda juu. Nimefikisha gb 765 mpaka sasa. N Ila naona ofisini boss wangu ameielewa internet yake. Huwa nikifika tunatumia pamoja. Mwisho wa mwezi ananipa 100k kwa ajili ya kuweka kifurushi kingine. Mwezi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man City kapita na sadaka yangu ya kesho. Nilale tu kesho niwahi kanisani. Kwanza kubet haramu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii shuhuli inaisha 1-1
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    https://www.ebay.com/itm/175511487614?mkcid=16&mkevt=1&mkrid=711-127632-2357-0&ssspo=BwhpuBofTca&sssrc=4429486&ssuid=idbKvHKJRJa&var=&widget_ver=artemis&media=WHATS_APP
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tupeane hizo code za halotel. Inapatikana kwa bei gani?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa hivi vilio vya hii mitandao mpaka unashindwa kujua ni mtandao gani wa kuruka nao.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nilimwomba goli moja tu ila naona amekaziwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio poa yani. Yani hapa akili ishayumba yani. Amezingua kinoma yani.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sevilla🚫🚫🚫🚫
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah. Yani Dortmund hata goli moja limewashinda. Hii kazi ngumu kwa kweli. Ngoja nilale tu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ngoma ndio imetuua kabisa yani??
Back
Top Bottom