Recent content by sembembe

  1. S

    Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    na bado mtaumizwa sana vichwa na UDOM mana haiwatoki kichwani am proud to be mwanaUDOM
  2. S

    Heslb tenaaaaaaa!

    sasa inamana ambao fom zetu hazikuwa na kasoro ndo imekula kwetu?
  3. S

    Wale wa nacte (diploma) mzigo umetema

    duu afadhali mana nilikuwa nawaza jamani mmmmnh thanx GOD nimepta chuo hata kama wanakiita cha kata i don care najua nnachokifuata (udom hiyo)
  4. S

    Tcu-ingiza jina lako uone chuo na coz uliyochaguliwa

    Ukiingia kwenye link ya tcu utakuta wamerahisha kwakuweka index no.mwaka jina lako lakwanza na lamwisho ukiona haumo tulia bado wanaendelea
  5. S

    TCU selections are OUT!!

    daaah kumbe tupo wengi cjui inakuwajee jamani msaada!!
  6. S

    TCU selections are OUT!!

    jamani msaada kwa nacte au sisi bado??
Back
Top Bottom