Recent content by Semahenge

  1. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Ndo hizo imani za kishirikina 2.faida ati unakua huna nguvu za kuloga😆
  2. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Alafu kule wananchi hawana ushirikiano..kila mtu analalamika kuhusu ardhi hawaji unite kabisa...inakera mno
  3. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Wao walijua alipo hadi kijiji alichokua...wakashikwa red handed wakiwa wanaelekea kwamganga
  4. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Walimtrack mjesh....then wakajua yuko kijiji fulan...wakaenda kwa mganga wwakampga mkwara kua atakuja mtu fulan usimfanyie kitu tupe ushirik8ano..usipotupa tunakufutia leseni.so mganga alifanikisha kudakwa hao watu
  5. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Naskia inabidi ifanyike familia kwa familia..sio kabila jingine kwa jingine .jua tu alitekwa kwa kupigwa akijua haajui kitu...alipoona anashindwa jitetea akakubali kusurrender
  6. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Ndugu yangu acha tu ..ndo maana nikalishukuru Jeshi la Polisi
  7. Semahenge

    Hali ngumu. Naona familia yangu inaenda kuaibika, nahitaji msaada

    SO kama sio islam hawezi pata msaada??
  8. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Chanzo ni mgogoro ardhi .lakini wakat wako katika majadiliano likatokea kundi kubwa la wahuni wakiwa na bajaj na pikipiki wakaanza mpiga na kumwitta mchawi ..wakampeleka huko kwa huyo bibi ili anyolewe nywele..kwamba ukinyolewa nywele unakua huna nguvu tena za kuloga🙌
  9. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Ihowanja huko hata sijui niwap
  10. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Nimepeleleza tamaduni zao ni lazima mkubaliane...anywys
  11. Semahenge

    Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

    Naskia kunyolewa ni hiari...sasa huyu alibebwa juu juu na kupigwa juu akiwa haelewi kitu...alidhalilishwa sana aise
Back
Top Bottom