Recent content by self

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kaunda alipomwita Kikwete "bwanamdogo toka Tanzania" mazishi ya Mandela Afrika Kusini

    ama kweli hii ndo bongo kweli,mi sijaona kitu kibaya alichoongea kaunda hv tulimsikiliza au tumehadithiwa..kaunda aliposema young president from Tanzania alimaanisha hivyohivyo kwamba hii is young..kumbuka hata mc alipomkumbusha suala la muda alirudia kusema..this young man is chasing the old...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    unaweza kweli ku guarantee maamuzi ya mtu ktk siku zijazo? viapo vya ndoa tunazo apa misikitini na makanisani tunavisaliti kila kukicha,itakua siasa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

    ....uhuru wako unaishia pale uhuru wa mtu mwingine unapoanzia,ts tradition issues jst respect dat!
Back
Top Bottom