Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 na mnamo 11/12/2012 nilipata ajari ya kuangukiwa na kitu kizito pajani karibu na goti na nilipopelekwa hospitali walinipatia dawa za kutumia tu na kuniambia niwe nakwenda kufanya mazoezi hospitalini hapo .
Lakini umepita muda mwingi sana hakuna...
msaada wakuu pc yangu ina hao wadudu yani kila partition wanacreat folder ndani ya folder zangu,nimejaribu kufanya window installation mara nyingi sana but hawatoki na wamefunga hadi partition za hard disk,msaada wakuu
Wakuu msaada,jana nilikuwa natumia computer lakini ghafla ikazima yenyewe,so baada ya hapo kila nikiwasha inaonyesha mwanga mwekundu kwenye button ya kuwashia,nimejaribu kuipumzisha kwa muda mrefu sana lakini bado vilevile,msaada wenu wakuu
Please wakuu,naombeni msaada mwanzoni nilikuwa natumia internet kwa modem ya vodafone lakini baada ya kushusha window tuu nikii-connect inaleta message "welcome to found new hardware wizard" na inaonyesha kwamba inahitaji driver, lakini nimejaribu karibu cd kama 3 hv za drivers na imegoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.