s-junior
safi sana huyu mama alikuwa mkorofi sana na hata hamna alichofanya ukerewe,pia kwa jinsi madiwani wa chadema walivyoongoza ukerewe zaidi ya nusu na sasa ukiritimba wa mkurugenzi ukerewe sasa utajulikana.Pia watumishi wa ukerewe walikuwa wakinyanyasika sana sababu ya uongozi wa ukerewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.