Recent content by selemanichagi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

    Ati huo ndio uchambuzi wa wasomi waCDm. Kweli inabidi tuanze chadema tuition
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Kumiliki meli ndio kusafirisha nyara? Kinana mnamjua Siku hizi kuliko Padre wenu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Athibitishe uongo? Mbona leo hamtoki nje?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Bravo Dr. Nchmbi. CHADEMA wamezoea uongo na uzishi. Kinana amewakamata penyewe. Mchungaji gani mongo hivi? Ndio Maono ya Nigeria Msigwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chadema wagawa 300,000/- kwa kila mwandishi!

    Huwajui waandishi Njaa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Kumiliki kampuni ni dhabi TZ? Mbona babu yako mbowe Ana nyingi? Wezi wapo mahakamani tangu 2009. Lkn kwa sasa ya ubongo wa Chura unachokumbuka ni Kinana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Kinachoisumbua chadema ni kinana. Mizoram mdebwedo Siku za nyuma sasa imekula kweli. Watu makini wanajadili haja sio mtu. Kinana huyuhuyu ndo kawashinda chaguzi zote. Rudini tena madhabahuni mpewe sadaka za kampeni.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Kuna haja ya kujadili mikakati mbadala ya kujenga nchi. Lena ni zaidi ya maendeleo ya wana Arusha? Every day Lema..... Lema. Sasa hata Leo mmeacha tena shughuli za kujenga uchumi mpo mahakamani.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Kwa mshangao mkubwa wasomi wanashindwa kutambua kuwa hakuna aliye juu ya sheria. Lema kufikishwa mahakamani nini cha ajabu?
Back
Top Bottom