Recent content by Sekibuju

  1. Sekibuju

    Yajue masharti ya kufuga nguruwe hawapendi wafia dini,wachawi na mapepo

    Hivi haya mawazo ya kuwa nguruwe ni dawa ya mapepo na uchawi umepata wapi. Kuna maandiko? Au ndio mawazo ya kukaririshwa kwa kusikia tu toka kwenye jamii ya wafugaji na walaji nguruwe kama wewe ili kutetea na kuonyesha uzuri wake.? Ni mawazo tu.
  2. Sekibuju

    Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Ukinitajia tajiri muislam mmoja wa nchi hii, aliyesoma mission, siingii tena jf. Au unamaanisha mafanikio yapi! Maana hata wasiosoma wapo wengi waliofanikiwa kuliko waliosoma.
  3. Sekibuju

    Bado na Ndoto ya kwenda kuishi Canada

    Mtafute huyu 0710481583 Sent from my SM-T715Y using JamiiForums mobile app
  4. Sekibuju

    Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    https://abeau11.wordpress.com/2015/03/23/list-of-contradictions-of-jesus-by-paul-to-make-new-theology/
  5. Sekibuju

    Matumizi ya Lugha ya Kiarabu kwenye kujifunza dini ya Kiislam ni utumwa wa hadharani

    Kama ulivyokuwa mtumwa wa lugha ya kingereza! By the way isome kwanza dini hizi kwa kina utaelewa kwann itumike lugha moja ya kuabudia. Cha kwanza kutumika lugha moja husaidia kuleta umoja katika dini. Mfano: Leo hii, muislamu anaweza akaingia msikiti wowote akisikia azana na akaswali bila...
  6. Sekibuju

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Tafuta muda usome dini kwa historia zake na kwa kupitia vitabu vya dini tafadhali. Sio kutoa mawazo yako tu.
  7. Sekibuju

    Kwanini wanaoruhusiwa kuchinja ni Waislamu peke yao?

    Wewe jichinjie uone km kuna mtu atakuuliza!
  8. Sekibuju

    Ni kwanini maeneo yote yaliyotawaliwa Na waarabu ni maskini sana?

    Mtoa mada mimi nadhani ungetutajia mikoa tajiri ya tz ambayo haikutawaliwa na waarabu ambayo inawazidi utajiri waarabu ili tuone kama kuna connection yoyote kati ya umasikini na uarabu.
  9. Sekibuju

    Ni kwanini maeneo yote yaliyotawaliwa Na waarabu ni maskini sana?

    Kabla ya kupost hii, nakusihi ungejaribu kutafakari vzr, maana hapa tz kuna wasomi ambao ni nyie lakini hatuwafikii waarabu pamoja na kuwa na rasilimali nyingi kuliko wao, ukizingatia wasomi mpo. Hizi chuki dhidi ya waarabu hazitajenga chochote. Maana pamoja na uvivu wao huko saidia huwezi kuta...
  10. Sekibuju

    Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

    Hawa wote wanaojinadi na kupata wafuasi kupitia miujiza ni matapeli tu, hao wengine kwasababu hawajaumbuka bado. Badala ya kukusanya watu na kuwakataza kufanya maovu, wao watu wa Mungu wanahubiri miujiza na utajiri ili waendelee kuneemeka, hii ni mbaya sana. Tutumie nguvu kubwa kukataza maovu...
  11. Sekibuju

    Idadi ya wanaume inazidi kupungua kwa kasi sana

    "Wanaume tujifunze kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ili na wanawake wengine wapate pa kuegemea Tuache kuwachakata mbususu na kuachana nao tu!" Man biznes
  12. Sekibuju

    Kifo ndo ishara peke huonyesha usawa wa binadamu

    Ishara za binadamu kuwa sawa ni nyingi sana, wala si kifo peke yake. 1. Wote wanapata haja kubwa na ndogo bila kujali walichokula na kunywa 2. Pumzi, hewa ni ile ile ya aina moja 3. Wote wanashikwa na usingizi, bila kujali wanapolala. 4. Njaa, kula 5. Na mengine mengi
  13. Sekibuju

    Ambao hatujawahi kabisa kula chipsi tujuane hapa.

    Sioni kama kuna chakula chenye shida duniani as long as kimeitwa Chakula, tatizo ni kwamba tunachokula kinalingana na utaratibu wetu wa maisha? Mtoto wa kiume na unakuwa na ratiba kama za kike, safari ndogo tu bodaboda/bajaji/gari, huna ratiba ya kukutoa jasho hata moja isipokuwa joto la ndani...
Back
Top Bottom