Kanisa lazima lihubiri neno na neno lazima liwafikie tunajua ni utawala wa shetani na lazima tuuseme huwezi kuwaongoza binadamu kwa bunduki na magari ya kivita mitaani na unataka tuwakalie kimya Hilo haliwezekani.
Mishahara midogo sio kigezo Cha kuwatisha watu wasio na bunduki,weledi wa viongozi wao na viongozi wa siasa ndio shida kuu hasa Kuna huyo kiongizi mmoja kwa jinsi anavyo tawala ni dhahiri bila Hilo jeshi la polisi anajiona hana usalama na amani kajivika roho ngumu ambayo sijui anajiona au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.