Recent content by seifsutco

  1. seifsutco

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Je mna vifaa vya kupimia maji kama yamechafuka nipate kujua
  2. seifsutco

    Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Habari wakuu mimi nahitaji kuchimbiwa bwawa na vifaranga na chakula nipo tanga nitawapataje
  3. seifsutco

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Wakuu msimpe presha mwenzenu hivyo sivyo vya arv
  4. seifsutco

    Chakula cha kuku wa mayai

    Wakuu naomba msaada wenu maana hizi nei za vyakula vya kuku wa mayai imekuwa mtihani na soko la mayai laporomoka siku hadi siku nifanyeje
Back
Top Bottom