Recent content by Seif Mselem

  1. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mpenzi wa mpira na unataka kutengeneza pesa bila kufanya betting basi fanya hivi

    Tunasema… Moja ya eco – system zenye PESA nyingi zaidi duniani basi ni pamoja na… “MPIRA WA MIGUU” A.K.A… SOKA! Yaani… Ukikaa sehemu yoyote ile ndani ya MCHEZO wa mpira wa miguu basi una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa nyingi. Ukitaka uwe mchezaji kama Dickson Job…PESA UTAPIGA! Ukitaka...
  2. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Siri iliyopo nyuma ya mafanikio ya Mwamposa na jinsi unavyoweza kuitumia kwenye biashara yako

    Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na “Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara” Yaani… Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji. Mfano…...
  3. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa C.E.O wa biashara ya AFRICAN BOY basi hiki ndicho ningekifanya ili kujenga Brand yenye nguvu!

    Kabla sijakwambia ni STRATEGIES gani ningeenda kuzitumia ili kujenga hiyo brand… Naomba kwanza nikwambie maana sahihi ya BRAND ili uweze kunielewa vizuri huko mbele. Huwa napenda kuelezea brand kwa urahisi kwa kutumia hii EQUATION hapa chini… Ownership + Association = BRAND Nimekuacha...
  4. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Shukrani kwa kunisaidia kwenye hili Kiongozi. Shida yetu sisi WABONGO ni Exposure tu.
  5. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  6. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Kitu kimoja usichokijua kuhusu biashara (sio hicho unachofikiria)

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  7. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii ya KIJESHI kuua ushindani kwenye biashara yako

    Shukrani Daktari[emoji1317]
  8. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Mbinu Aliyotumia STEVE Kutikisa Soko La Viatu Duniani!

    Ingia Google Icheki.
  9. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wachina wanavyopiga hela nyingi Morogoro!

    Yeah Sure.
  10. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wachina wanavyopiga hela nyingi Morogoro!

    Bora Umenisaidia Kaka Pendaeli.
  11. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Hili Ndilo Kosa Moja Unalofanya Kila Siku kwenye Maisha yako…

    Karibu Tujifunze Chief Ngwanduu.
  12. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Hili Ndilo Kosa Moja Unalofanya Kila Siku kwenye Maisha yako…

    Karibu Kaka Raymanu.
Back
Top Bottom