Tunakaribia saa chache za kufanya UAMUZI muhimu kwa mustakbal wa watu,nchi,taifa na maendeleo yetu.Bado tuna changamoto ya kutambua UMUHIMU wa demokrasia na faida yake.
Hakika, Nashukuru kwa kuliona suala hili.
Tumedhamiria kwa dhati kufanya siasa za watu na maendeleo na si kukamiana.
We are in for a moderate political landscape and issues not individuals.
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA huyu, eneo la MWENGE, mbele ya iliyokuwa EPHATA Bank.
Ni akinaMAMA wengi wenye changamoto za kiUCHUMI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.