Recent content by Secret person

  1. S

    GE2025 Nani unatamani awe waziri 2025-2030

    Yupi mbunge unatamani awe Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025-2030. Maoni yangu 1. Paul Makonda. 2. Doto Biteko. 3. Dorothy Gwajima. Nitajie wabunge watarajiwa watatu unatamani wawe mawaziri.
  2. S

    GE2025 Watu wanaotamani Vyeo vya Dezo serikalini

    Wana Tamaa ya kuteuliwa Hata UDC Ila serikali mpaka leo haijawaona naomba niwaorodheshe. 1. Harris Kapiga 2. Mc Pilipili 3. Masanja Mkandamizaji. 4. Maulidi Kitenge. 5. Mwijaku. 6. Shilole. 7. Wema Sepetu 8. Steven Nyerere. Hawa ni watu wameonyesha nia kubwa ya uchawa na kupewa fadhila yoyote...
  3. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    So ushauri wako tuendelee kusubili mshahara tule siku ziende
  4. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Mbona nimekuwa jobless muda mrefu tu mkuu na nilikuwa nasurvive vizuri tu
  5. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Nimeajiriwa serikalini Ila wote na waona njaa tu na mie Nina njaa tu tena mishahara haikutani hii dhana naona ni SCAM
  6. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Nimeajiriwa serikalini Ila wote na waona njaa tu na mie Nina njaa tu tena mishahara haikutani hii dhana naona ni SCAM
  7. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Basics Need ule ushibe uendelee kumtumikia mwajiri. Je siku ukipata ulemavu wa kudumu ,ugonjwa au kifo unadhani familia unayoiacha itapata wapi hizo basics need Kama sio Future ya uwekezaji itakusaidia
  8. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Kundi kubwa sana linalokula BATA kwenye utumishi wa umma. Linaloumia ni kubwa sana.
  9. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Uhakika upi wakati hakuna future hasa kwa sisi watumishi wa kawaida.
  10. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Admin1988 Moderator JamiiCheck Naombeni mnisaidie kuedit kichwa Cha Habari
  11. S

    Jamii ya Kitanzania kwanini ina amini kuajiriwa serikalini ni kutoboa kimaisha

    Habari. Namba niulize kitu jamii yetu ya kitanzania imekuwa ikitupa credit kubwa watumishi wa serikali na kuonekana Kama tumetoa kimaisha. Hali inayopelekea majukumu yote ya kifamilia Kama kusomesha,kulea ndugu yakiwa juu yetu sisi watumishi. Katika Jamii inayotuzunguka Kuna misiba,Harusi na...
  12. S

    DOKEZO Kwa wale mnaotumia BIMA kutibiwa kwenye VITUO VYA AFYA hasa vya serikali fuatilieni hili kwa makini sana kuna wizi mkubwa, imekuwa biashara sasa

    BIMA AUTHORIZED Kuna muda inasumbua je watu wawe hawawapi huduma mpaka mtandao uwe sawa Kama hospital kubwa. Tunapowaambia msiandike tar ni kwa kuwa Kuna muda mfumo wa bima unasumbua unaweza kurudi siku 3 mbele na wewe huduma ulishapata lazima tufanye authorized upya siku mtandao utakapokuwa...
  13. S

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    SIASA TU. Waajiri watumishi wa afya maana kazi zinatulemea sana aisee wagonjwa wengi kuliko wahudumu.
Back
Top Bottom