Recent content by Sebite

  1. Sebite

    Mti wa miaka kumi unaweza kutoa mbao ngapi?

    Nataka kupanda pines maeneo ya rulenge,ngara mkoa wa kagera
  2. Sebite

    Mti wa miaka kumi unaweza kutoa mbao ngapi?

    Hapana sifahamu maana nataka kupanda miti ya mbao ekari tano sasa nlitaka kujua mti mmoja unatoa mbao ngapi ili nipige hesabu kwa hiyo nlitaka makadirio ya kitaalamu tu
  3. Sebite

    Mti wa miaka kumi unaweza kutoa mbao ngapi?

    Naomba mnisaidie kitaalamu mti wa miaka kumi wa mbao unaweza kutoa mbao ngapi za 1×8 na unakuwa na kipenyo kiasi gani kwa vipimo
Back
Top Bottom