Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani?
Na nani mmiiki wa hili kanisa? Naombeni kwa wajuzi mnijuze.
Pia soma >> Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini...
Sio rahisi km unavyofikiria, ingekuwa vita ni rahisi hivyo, Israel angekuwa ameshaiteka Gaza yote kwa muda mrefu, vita vya siku hizi ni lazima utumie akili kubwa sana ilinuchumi usiathirike, mfano: Ukraine wanatengeneza drone za ghalama ndogo sana lkn madhala yake ni makubwa, ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.