Recent content by scot mcomic

  1. scot mcomic

    Dawa ya vidonda vya tumbo kwa wale wanaosumbuliwa.

    Mkuu mimi nilikuwa na h pylori ila nimeenda kupima sasa nipo negative h pylori shida niliyobakiw nayo ni kiungulia(acid reflux) je hii unaweza nisaidia
  2. scot mcomic

    Dalili za ugonjwa wa H-PYLORI

    H pylori unaweza hisi una mgonjwa yote mimi ilinipata mwaka huu mwezi wa pili nilipima sukari,shinikizo la damu,ngoma, nikafanyiwa cjui fullblood picture mwishow nikaambiwa h pylori nipime pia ndo nikawa + h pylori Dalili nilizopata mimi 1.kiungulia hasa wakati wa usiku hakuna kulala 2.kichefu...
  3. scot mcomic

    Resistant H.pylori

    Mm nilipona wakuu na zile antibiotics shida ni acid reflux ndo inanisumbua sasa mwenye kujua namna ya kumailiza ili atusaidie pia
  4. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Umenitia moyo mkuu shukran sana
  5. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Nimepew dawa za wiki mbili kweli mkuu je baada ya hapo nawez rudia mlo wa kawaid mkuu maana saiv nimepew makatazo sana Alaf vip kuusu kuuma kwa lips maan hususan za juu zinauma wakati mwingine
  6. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Nimeambiwa nina vidonda vya tumbo mkuu vya huyo bacteria h.plory ss notapona kweli ?
  7. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Kesho ntatoa mrejesh naenda hospital
  8. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Vinafany lips kuuma kumbe mkuu?
  9. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Miaka 26 kg61 mm nina umbo dogo tu lakipare ni mwalimu maji nakunywa mana nipo sehemu yenye jua kali sana msongo wa mawazo cjui kama ninao mana naskia watu wanasemag unawez kuw na msongo na usijijue
  10. scot mcomic

    Ni kitu gan kinanisumbua wakuu msaada tafadhali

    Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini? Natanguliza Shukran zangu
  11. scot mcomic

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Aramun vp kanmoor yupo arthdal bado au😂😂
  12. scot mcomic

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Nimeshindwa kupig show mara 5 mfululizo ngoma inaamk nikitak tu kuwek Ina lala hii ndo yangu😭😭
Back
Top Bottom