Sio nguzo zina mvua tatu maana mradi haukamiliki mwaka wa 3. Wanakuja wanaweka nguzo chini wanaondoka. Mara wanakuja wanaangalia wanabeba nguzo na vifaa vingine wanapeleka site nyengine. Kuna wenzetu mradi tuliwatangulia mpaka sasa mradi ulishaisha muda wanatumia umeme na hawakufikisha hata miezi 6.
Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika.
Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.