shida yako ni kuishi ukimbizini ungerudi home tujue kama bado ni mme au umebadilisha jinsia maana uko ulipo kubadilisha jinsia ni fashion mwanaume wa africa hawezi kuwa na gubu kama lako
Act mna wabunge wangapi? Jadili act mnatoka vipi bila wabunge na madiwani wa kutosha, kwanini ana mghwira apate kura 400 tu kasulu kwenye ngome yenu, shida ni nini? Ya wengine waachie wamalize wenyewe, ebo.
mwanakijiji toka nifatilie coments zako ulikuwa mtu wa kusimama kwenye ukweli lakini toka slaa aondoke kama kaondoka na akili zako au na wewe uliaidiwa u first lady? shida ya nchi hii sio mtu ni chama cha mapinduzi watoto kukaa chini ,afya kuwa mbaya elimu kuwa ya div 5 ni sera mbovu za chama...
mkuu watu hawabadilishwi kwa evidence tu kama kwa miaka karibu 9 mmezikaria na mtuhumiwa yuko mtaani sisi wananchi tusio na dola tuwasaidie nini tuamini ayo maneno ya kwenye khanga ya slaa? pesa zenu zimezama
uchungu wa kukosa urais toka 2010 alijua ndiye mgombea pekee ndo maana aliyeinua kichwa kuutaka alikorofishana naye mfano zitto aende tu hii ni vita hatuwezi kufika wote leo ndo anaongelea udini tulioupinga walipoungea kwake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.