Siwezi kuisoma sana haabri yenyewe kwanza haina mvuto, lakini cha kuuliza kama Lowasa ni fisadi kwa nini hajachukuliwa hatua, au ndio kusema alikuwa anaishi kwenya nchi ya serikali legelege? Hivi sasa ukiambiwa utafute watu safi 50 Tanzania utawapata? acheni kuwa wavivu wakufikiri ! Lowasa ni...
Watanzania tunaamini kwenye mambo magumu na ambayo hayaeleweki sana na kuacha mambo rahisi kuelezeka. Kifo cha Mtikila kilitokea asubuhi... hii inaonyesha dereva aliendesha usiku kucha, na gari kuacha njia inaonyesha dereva alikuwa amechoka na pengine alikuwa na usingizi. Mtikila ni national...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.