Habari kiongozi,Utaratibu wa kusoma Masters kwa nchi za Finland,Norway,Sweden na Dernmak upoje?Hasa gharama na qualifications.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wadanganye wasioijua Rwanda,pazuri ni Kigali tu pengine umefika,unapajua?Usifananishe Tanzania ni Mambo madogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo issue ndio imechangia pakubwa Wilaya za Mpwapwa/Kongwa na Urambo kuwa na majoka mengi baada ya project ya karanga kuanzishwa na kutumia nyoka Kama Kinga dhidi ya panya waharibifu kwa zao la karanga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio lazima upite CBE,unaweza kuzungukia Shoppers,Njia panda ya Area D ukasepa sio hadi mpishane na misafara
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.