Recent content by sbc fashion plus

  1. S

    Mwenye account ya bolt

    0750939304 na shida na account ya bolt ya gari
  2. S

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Mimo natumia huo mfumo boss uko poa tu
  3. S

    Naomba ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gas asili kwenye gari

    Mkuu kama haujafunga wewe nenda kafunge tu huu mfumo unaokoa pesa sana tena kama wewe ni mzee wa route nyingi itakusaidia sana 0712432619
  4. S

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Mpaka inakubaliwa na mamlaka husika za serikali ina maana wamefanyia utafiti wa kutosha sana Watanzania ebu tuache imani potofu na kuwaza negatives kila wakati na ndio maana ata wake zetu usipo wafundisha kuendesha gari anakwambia siku ukiumwa nani atakuemdesha sheet
  5. S

    Mke wangu haniheshimu

    Pole sana toke iko choo cha kike alafu ingia cha kiume
  6. S

    Tatizo la mtoto kuharisha na kutapika

    nishampeleka two hospital ila ndio vile dawa hazimsaidii izo ndio dawa nilizopewa ila ndio kama anazidi hivi
  7. S

    Tatizo la mtoto kuharisha na kutapika

    Nipo dar ipo wap iyo hospital
  8. S

    Tatizo la mtoto kuharisha na kutapika

    Habari wadau, Msaada Mwanangu anatapika na kuharisha na muda wote analala tu, naombeni mtu ambae ana experience na hii kitu. Nimeenda hospitali mbili tofauti wamempatia madawa kunywa shida na akinywa muda si muda anatapika tena , hospitali walisema ana UTI na backeria tumboni sasa da...
  9. S

    Mwenye kuifahamu Honda Crossroad

    Picha: Honda Crossroad Habari wakuu umu ndani kuna watu wa maana sana na nawa amini sana mwaka juzi mlinishauri kuhusu Rumiona nikaenda kununua na sijajutia, yaani nimefurahia sana. Sasa nataka kununua Honda Crossroad naomba mwenye uzoefu na hii gari please anisaidie mawazo namba yangu...
  10. S

    Nimezielewa sana Honda Cross Road

    Kaka natamani kununua hii gari please kama upo dar naomba nichek ata niione tu na unipe ushauri namba yangu 0712432619
  11. S

    Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    au naomba unitumie no yako nikupigie mkuu unipe ushauri kidogo
  12. S

    Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    samahani kaka no 0712432619 naomba nipigie kuna jambo nataka unishauri tafadhari
  13. S

    Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    Hii inafaa kwa toyota rumioni au haifai
Back
Top Bottom