Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo
1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo
2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
Ili kuweza kufikia maendeleo Mazuri kama taifa afya ni kitu ambacho kinapaswa kuangaliwa kwa upana zaidi yafuatayo ni mawazo yangu juu ya maendeleo ya taifa kwa miaka kumi katika sekta ya afya
1. Kuajiri wataalam wengi wa afya kwenye vituo vyote vya serikali kuanzia dispensary hadi hospital...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.