Recent content by sayota

  1. S

    CUF na NCCR jihadharini sana na CHADEMA

    Ccm matumbo moto. Wameshaona kuwa upepo sio mzur ndo maana wanajidai kusema tinawaonea Huruma Cuf na Nccr. Na bado mpaka kieleweke.
  2. S

    Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

    Sasa kifuatacho tunasubiri nguvu ya wanaich. Katiba mpya itapatikana. Hata kwa kutumia nguvu. Ccm wanafikir wao wana nguvu za kumtawala kila mtu. Lakin hawajui kuwa wananch wana nguvu kuliko serikali. Waulize mini kilichotokea misri
  3. S

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Hakuna kitu kinauma kama kukaa bungen huku wengine wakiwa wanafanya upumbavu na wakijua kuwa wananguvu na uwezo wa kuwashurutisha wenzao. Sasa wakat umefika watanzania tumechoka!!! Na tutapaza waiting zetu hata kwa kutumia nguv. Hongeren UKAWA kwa Hathaway mlioichukua. Tuko pamoja. Yaan wananchi...
  4. S

    Nauza Line ya uwakala Tigopesa

    Unauza sh ngap?
  5. S

    Natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu wa maisha(naomba walio serios tuwasiliane)

    Mmmh jaman hampo serious!! Kwel we umshindwa kimpata m2 unayempenda katika mishe zako zote?? Mpaka tutafutane mtandaon? U can't be serious once again. Sasa ukikubaliana na m2 kwenye cm au email then baada ya kumuona ukamdis inakuwaje. Kama umeshindwa kutongoza unaowaona waombe bac wazaz...
  6. S

  7. S

    Nimemtorosha binti. Nifanye nini ili nijitamburishe ukweni?.

    Kama kwel unataka kumuoa bint wa watu we nenda kwa wazazi wake na ufunguke kuwa una binti yao na unampango gan naye. Kwan huyo bint sio mwanafunzi?
Back
Top Bottom