Mwongozo wa mikopo kwa mwaka 2026 uliweka kipaumbele kwa wanafunzi wa Diploma ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) wanaosomea masomo ya sayansi, yakiwemo Hisabati, Fizikia, Kemia, Baiolojia na TEHAMA (ICT).
Hata hivyo, wanafunzi wengi wa fani hiyo, ambao ni wahitimu wa...
Ni rahisi kumtaja Mhe. Kikwete kuwa atatoa msaada kwa sababu yeye hutamka majukwaani tu, usijidanganye ukadhani kwenye eneo la utendaji lipo hivyo, sio rahisi kwake. Trend ya haya mambo yanaendelea kujidhihirisha kuwa kwa mtumishi yeyote asiye na network au connection ktk utumishi hususani kwa...
Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo.
Si Rais, Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.