Ni Hatari sana kutafakari kitu chochote ukiwa umelala maana utaharibu ubongo.
Unapolala. hakikisha. fikra zako na hisia zinakuwa free kwa kusikiliza. sauti mbalimbi kama upepo ndege wa nyama nk. Usijadili maada yoyotr uwapo umelala
Ni rahisi sana kabisa kuvuta usingizi kwa kufuata hatua hizi.
1.Kaa kitandani au lala vizuri.
2.Anza kusikiliza kwa making milio ya ndege,magari au vitu vyovyote mazingira ya nje lakini isiwe radio .
Sikiliza kwa makini sauti za mazingira Natural sound muda mfupi stress zitaondoka na...
Mimi nikiweka memory card mafaili yote yanageuzwa kuwa uuuuuu.uuu na haitokei option ya. kulipa pesa.Kama unafahamu namna ya kuwalipa. Au. kujilinda dhidi ya hawa virus naomba unisaidie
Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la uuuuuuu.uuuuu.
Ubaya wa haya ma folder mengi hayafutiki. Kirusi hiki ni jeuri maana hata kama niki...
Nilikuwa na download file muda huu kwa bahati mbaya nimedowload file nisilolitaka basi nikasema nilifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file siioni.Nimebonyezabonyeza vitu vingi bado sijajua Nita delete vipi mafaili kama video Nisaidieni wadau maana...
Nilikuwa na download nyimbo asubuhi kwa bahati mbaya nimedowload nyimbo nisiyoitaka basi nikasema niifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file siioni.Nimebonyezabonyeza vitu vingi bado sijajua Nita delete vipi mafaili kama video Nisaidieni wadau maana...
Heshima Zenu Wakuu.Mimi Nina DVD nyingi za movies mbalimbali nataka kuziforma lakini cha kusikitisha na cha ajabu sana kila nikijaribu kuformat naambiwa yo cant format this disk becouse it is write protected.Mimi natumia window sewen na kompyuta ya HP anayejua namna ya kufomati hizi dvd naomba...
Ngoja Nijaribu Tena. Maana Nimefanya Hivyo Kwenye Hosting Moja Nika Sign Up.Lakini cha ajabu link za kuweka vitu vyangu siiona.
Naona Matangazo Yao Tu Kila Niki Login.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.