Recent content by sawima

  1. sawima

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawaogopi kuwa peke yao, wanaogopa kusikia sauti za nafsi zao

    Mimi ni introvert so napenda kutafakari.
  2. sawima

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Hahaha kwamba wanajiona wanatisha sana ktk kitengo cha kuua kumbe wenye kitengo Chao wanawachora tu.
  3. sawima

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Una ushahidi kuhusu hayo mambo ya waganga?
  4. sawima

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wengi hawana uwezo wa kudhiti hisia zao yani ni wadhaifu.
  5. sawima

    JamiiForums Tanzania Hivi wanakula samaki na dagaa?

    Kitu chochote kinachohusiana na wanyama hawali. Labda kama ni veggie wa kubipu.
  6. sawima

    JamiiForums Tanzania sikuomba kuzaliwa, kwanini nihukumiwe na moto wa milele

    Poleni sana mlio kwenye mpango wa kwenda kuchomwa moto.
  7. sawima

    JamiiForums Tanzania Hivi wanakula samaki na dagaa?

    Sidhani kama wanakula hata mayai achilia mbali dagaa na samaki.
  8. sawima

    JamiiForums Tanzania Usiwe Mtumwa wa Wema — Jifunze Kuweka Mipaka

    Kweli.
  9. sawima

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Ni wadhaifu sana ila hawajui hilo(sio wote)
  10. sawima

    JamiiForums Tanzania Usipuuze idea unazopata ukiwa kwenye maeneo haya:-

    Kwenye utulivu na nature.
  11. sawima

    JamiiForums Tanzania MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

    Hao ni binadamu na mitazamo yao huwezi kuwazuia. Binafsi namkubali sana Masoud anachambua mziki mpaka wa miaka ya 50 huko kuanzia waimbaji wenyewe, instrument, sauti,na vingine vingi. Ukitaka uinjoy muziki uchambuzi ni muhimu.
  12. sawima

    JamiiForums Tanzania MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

    Yuko vizuri kwakweli.
  13. sawima

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Yani ktk intuition unajua tu bila kujiuliza kuwa hii ni kweli na ni kweli kabisa.
  14. sawima

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Intuition ikuingize chaka!! Labda utakuwa unaichanganya na vitu vingine.
Back
Top Bottom