Recent content by savedlema

  1. S

    Msaada Jinsi ya kunua vocha ya StarTimes kwa M-Pesa?

    Kimeta, Nitakushangaza kuwa hapa Arusha nimetumia king'amuzi cha StarTimes kwa mwezi mmoja sasa na its perfect, hakina tatizo kabisa (isipokuwa tuu ITV na EATV zaonekana picha bila sauti) Otherwise kipo poa, hakuna scratch hata kidogo.
  2. S

    Msaada Jinsi ya kunua vocha ya StarTimes kwa M-Pesa?

    Asante sana mheshimiwa. Nimeona taarifa ya StarTimes kuhusu kuondolewa kwa Star TV, ila sasa naona sina cha kufanya hapo ingawa kuna vipindi nitavimiss sana. Siwezi kununua ving'amuzi viwili, so basi tena. Wewe utafanyaje?
  3. S

    Msaada Jinsi ya kunua vocha ya StarTimes kwa M-Pesa?

    Habari zenu? Naomba mnielekeze namna ya kununua voucher ya StarTimes kwa MPESA. (Nimejaribu ku-search thread nyingine hapa sijaona) Pale ninapoambiwa niingize namba ya account, hivi namba ya account ni ipi? -Ina digits ngapi? -Je, ni zile zilizo katika barcodes mbili? -Je ni ile...
  4. S

    Mtaalamu/mkufunzi wa quickbooks

    Okee, haya samahani, mimi sipo Dar, get help somewhere else there.
  5. S

    Mtaalamu/mkufunzi wa quickbooks

    Hujasema upo wapi?
  6. S

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Asante Dawa ya jiko.. nitayatafuta hayo, bei gani yanauzwa huko ulipo?
  7. S

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Sakasaka, hayo mafuta ya Kuza upatikanaji wake ni mkubwa? na bei yake je? Asante sana.
  8. S

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Asante sana Prince Hope kwa ushauri mzuri. Nitauzingatia.
  9. S

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Amani kwenu wote. Ninakerwa sana na tatizo la kuwa na mba kwa kiasi kikubwa kwenye nywele za kichwani. Hii ni tangu nikiwa mtoto mdogo. Nimejaribu njia mbalimbali bila mafanikio; Nimejaribu dawa mbalimbali, kuna zile dawa za cream/za kupaka kama vile Candisdat na nyinginezo Nimejaribu dawa...
  10. S

    Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

    Ndugu, vipi kama ukijaribu ku-copy contents za hiyo DVD kwenye computer yako, ikikubali ku-copy una-burn upya kwenye DVD mpya. La kujifunza: Kama unamaanisha kufanya hiyo kama biashara/ajira, uwe na library yako ambamo kila kazi ya mteja wako utakuwa unatengeneza copy yako na kubaki nayo ili...
  11. S

    Tatizo la MPEG version kwenye Panasonic TopDome Television.

    Na kama kuna mtu anayetumia decoder ya TING AAL 002 naomba anifahamishe color systems zake pia.
  12. S

    Tatizo la MPEG version kwenye Panasonic TopDome Television.

    Mkuu Arselona, asante sana. Hivi kwa sasa AAL 003 wanauza bei gani?
  13. S

    Tatizo la MPEG version kwenye Panasonic TopDome Television.

    Amani iwe nanyi. Kama kuna mtaalamu wa mambo ya TV naomba ushauri wake tafadhali: Nimenunua decoder ya TING, nimeunga kwenye TV yangu kinaonesha black&white tuu, hakuna rangi kabisa. Nimejaribu kuunga decoder hiyo kwenye tv ya mtu mwingine, kimeonesha vizuri (colors) Nimejaribu decoder ya...
  14. S

    Nawezaje kufahamu ilipo simu kama ninafahamu namba ya line iliyomo?

    Amani kwenu! Rafiki yangu kanipigia, anasema mdogo wake haonekani alipokwenda, akipigiwa simu anapokea mtu mwingine na anajibu vibaya. Kaniambia nijaribu kuona kama naweza kujua location ya hiyo namba (at least kujua anatumia mnara upi wa mtandao na upo wapi), taarifa kama hizo. Naomba kama kuna...
  15. S

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Arusha, nimeamka asubuhi sikukuta umeme, nalala umeme haujarudi bado. Labda ntaonana nao kesho, tukipishana tena basi.
Back
Top Bottom