Kwako mkuu wa wilaya ya NYAMAGANA, mama haya yanayotendeka hayakufikii ama viongozi wanaamua kuyafunika ili yasifike juu.
MWANZA MABATINI mfanyabiasha alinyanganywa mzigo siku ya 31 August na kupelekwa ofisini ikawekwa chini nje ya ofisi na kisha ikapelekwa jiji. Maisha gani haya jamani...
Ona biashala ya mkazi wa MWANZA MABATINI ilivyo chukuliwa na watendaji na wenyeviti kisha kupelekwa ofisini ikawekwa chini nnje ya ofisi na kisha ikapelekwa jiji maisha gani haya jamani kwanini haya yatendeke viongozi awayaoni je akuna UWONGOZI WA MACHINGA MKOA au na wenyewe ni wanasiasa
Tuondoe uvyama na usiasa kwenye shughuli za kijamii sasa tuzungumze namna ya kuwasaidia wajasiliamali wadogo wadogo na wamachinga wana umia wana teswa wana nyanganywa mitaji kumbuka maisha ni magumu nani awasemee
Wajasiriamali wanaumia wanaangaika wananyanyaswa nani awasemee vilio vyao ni juu ya Serikali, wamekuwa wakilia kwani wakuu wa idara hawalioni hili
Viongozi wa machinga wao hawalioni hili au wamelidhika kuona wajasiriamali wadogo wadogo na wamachinga wakiumia kila siku ni vilio vya...
Nani atutetee nani atusemee maisha yame badilika hakuna wa kuongea kila mtu anaogopa kusema ata pale unapo stahili haki hakuna kusema maana siasa ina tupoteza, wao walitaka tufanye kazi na maisha ya endelee.
Pia kazi ndiyo chachu ya maendeleo yetu pamoja na taifa, ila pindi unapo fanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.