Recent content by sauti ya kijiji

  1. S

    Nitamshangaa sana mwanachama yeyote wa CHADEMA atakayempinga Rais wa Burundi

    na mbowe naye alikuwa kwenye umwenyekiti wa mpito? kumbukeni mnayoyasema majukwaani wtz wanafuatilia
  2. S

    Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    kwanza nani kamwambia kikwete anaongeza muda? ulimpukeni wa hali ya juu wengine tunawaza amani wao kuwasha moto huu ndio muda wa watz kuona cdm kilivo na element kigaidi kinaona bora watu wafe kisa madaraka
  3. S

    Vitisho Dhidi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

    mwanadiwani umeongea bigup, na kama haitosho wamchukue na warioba maana naye amesema anaingia mitaani sijui kwa maandamano?
  4. S

    Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    hizo siyo sauti ya uma wa watanzania ila ni sauti za wahangaikaji.
  5. S

    Vijana wazelendo vyuo vikuu wamshukia Mbowe

    ndiyo wasomi tena wazalendo wamesema kweli hata sisi ni wananchi wa nnchi hii, maana wengine mnajiona eti ndio wananchi?
  6. S

    Maandamano Arusha 20/9/2014 Kutumika njia 6 tofauti

    kuandama ndilo jema?katafuteni pesa kwa ajili ya familia zenu.ukivunjwa mguu familia nayo itakuwa hoi bintaabani kwa njaa wezenu wanapeta prado
Back
Top Bottom