1. Yapo mambo hutokea kwa maombi na mengine hutokea kwa kusaidiana halafu maombi yakafuata. Viongozi wengi wa dini hujua la kuombea na la kuchangia ila huchagua kuombea tu hata vinavyohitaji kuchangia.
2. Kadri dini zinavyofundisha kumpenda Mungu, zifundishe pia wanadamu kupendana.
3. Kwa...
Miundombinu hurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii
Jamii inahitaji miundombinu bora ya barabara, maji, umeme, reli, hospitali, shule nk.
Serikali imejitahidi sana kujenga miundombinu ya kutolea elimu na afya, nipongeze sana kwa jitihada hizi. Pamoja na pongezi Kuna doa na dosari za huduma...
Kwanini Mimi rafiki yake Sisi?
1. Kuielimisha na kujenga jamii nzima(sisi) Ni lazima ianze na mtu mmoja mmoja(Mimi)
2. Hatuwezi kuwa na jamii ya werevu ikiwa Kila mtu ni mjinga. Tunahitajika kuwasha taa ya maarifa na elimu kwa Kila mtu.
3. Tunamulikaje wengine ikiwa tupo gizani, Ni sharti Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.