Wananufaika kwa kusoma na kujiandaa na usahili, we unataka uonewe huruma sijui upewe maneno ya faraja 😂😂😂 haitasaidia. I used to have that victimization mentality and it didn't get me anywhere
You 25+ yrs and waiting for public to sympathize with you??? Nobody cares about you or how you feel, I'm sorry but that's the reality. Stay in your lane, fight your battle without having entitlement so that if someone joins you then it's ok if they don't it's even fine. You want to be pampered!!!!
Nafasi inaweza ikawepo na isiwepo, kama watapata mtu ambaye haihitaji hizo process zote au ameshazikamilisha kwanini wamuache waendelee kukusubiri wewe??? Hii ndo Ile "Hoping for the best but expecting the worst"
Hakiri ndio nini? Mi sijakatisha mtu tamaa, mi nasema tu uhalisia TRC ni jumba bovu, wakiboresha pia tutajua mambo mazuri sasa namkatisha nani tamaa hapo? Watu wenye victimization mentality kama wewe ndio wataona wamekatishwa tamaa ila watu ambao wanajua wako responsible kwaajili ya future zao...
Kama unataka kua Tutorial Assistant basi nina habari mbaya kwako. Ila kama ni kazi zingine fresh tu. Sema na wewe GPA ya 2.7 halafu course yenyewe ni public administration au mlikua mnafundishwa kwa kichina!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.