Recent content by saujan

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Noma mwamba, usifike huko mtu anaweza kuua
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Hili lakuwekewa gharama za cku nzima wakati umepark kwa hata nusu saa lipo Sana na hata ukienda kwenye ofisi zao, ushirikiano ni mdogo Sana. Kuna kipindi niliandikiwa nimepark slip way wakat tangu huu mwaka umeanza sijawahi fika huko. Unaweza kupark gari saa 11 jioni na mwisho ni saa 12 jion lkn...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Duuuu! Umetisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

    Tuwe wakweli Dar viwanja vya mpira vipo vingapi, Jambo la msingi nikuchukua tahadhari lkn viwanja Ni adim sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

    Kwa maelezo yako huyo mdada anafanana na mmalawi mmoja ambaye tulikuwa naye lkn alishaondoka. Muda wote anaongea na cm na anajua kupika ugali tu. Kwakweli wadada wa kazi kwasasa Ni changamoto.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    Nafikir hakuna haja ya kumuapiza mtoa mada. Kimsingi aliyoyaongea yana ukweli kwa kiasi kikubwa. Kwa wanaoishi maeneo ya kinondoni, Sinza Kuna mabinti wengi wamemaliza chuo wamepangisha vyumba wanajitegemea wakiwa hawana kazi maalum. Ni aibu kwakweli, mdada anakuwa na wanaume wengi km Kijiji lkn...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Penati nane za Rais Samia katika maslahi ya watumishi

    Noma Sana, siasa acha iitwe siasa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Daaaa! Mwamba hapa umezid
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sina pesa, Sina gari serikali haiulizi, siku nikiwa na magari na pesa nyingi serikali isinifuatilie vile vile!

    Daaaa! Huu Uzi kwangu utakuwa Uzi Bora ktk mwaka huu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

    Nataman huu ujumbe uwafikie angalau watapunguza lawama na laana kwangu. Umewajengea kanyumba wakat wew mwenyewe una mke na watoto lkn huna nyumba umewajengea wao lkn bado wanakulaumu kila cku inafika mahali inakatisha tamaa unaona liwalo na liwe tu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo matano(5) ya kufanya kumaliza umaskini Tanzania

    Haya mambo sidhani km yanaweza kupunguza umaskini kwa kiasi kikubwa. Mfano hapa Dar lami zipo, umeme na maji yapo lkn umaskini Ni mkubwa Sana. Kiukweli inakatisha tamaa Sana, sioni mipango yoyote ya maana ya serikali kupunguza umaskini kwa wananchi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

    Ktk hili mkuu ni ngumu kidogo, mfano wewe mwenyewe hapo ukiambiwa mke wako aruhusiwe hapa duniani kuwa na wanaume 72 hapa duniani hutokubali.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Lulu na Marjan
Back
Top Bottom