Recent content by Sattelite

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Ndio Mimi namwelewa kwa sehemu kubwa, japo kuna vipengele vinampa ugumu kidodo na yeye mwenyewe amekiri, ila tuache ushabiki JK ni mzima.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Ila JK amedadavua vizuri kuhusu mmiliki halali wa pesa za escrow. Japo anaendelea kutoa Maelezo. Nimeanza kumwelewa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Masikini Arusha Yetu

    sasa wewe unachojivunia ni nini hapa, ccm kutoka viti 146 hadi viti 78 au cdm kutoka viti 7 hadi viti 75? Kwa hesabu hii ccm imepoteza viti 68, cdm imeongeza viti 68 nani mshindi hapa?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Masikini Arusha Yetu

    sasa wewe unachojivunia ni nini hapa, ccm kutoka viti 146 hadi viti 78 au cdm kutoka viti 7 hadi viti 75?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Sijui kwanini watanzania hatuelewi,kwani kosa la Mengi liko wapi? Maana yeye kasema kama kuna mtu ana ushahidi auweke wazi. Sasa kelele za nini? Wenye ushaidi wapeleke tu, ni hayo.
Back
Top Bottom