Abdul......
Kaka hata gharika enzi ya sodoma na gomora iliwakuta watu wakiwa hawaaamini kuwa inakuja gharika. Sikushangai maana na wewe hutakuwa pekee yako ila wenye maono wameanza kuchukua hatua ili waingie katika safina.
Kazi kwako
action time
Hello tz,
kipigo kinaanzia mitaa, kata, ubunge na president. Ccm wajiandae kisaikolojia na wale waliyopora fedha pia wajiandae kurejesha fedha kabla ya kuundwa mahakama maalumu ya mafisadi. Pia familia za mafisadi zijiandae kula dagaa chukuchuku maana watanzania watachukua kila kilicho chao...
ccm jamani ni sikio la kufa. bora wahusika wawajibishwe taifa linusurike na kuzuiwa misaada maana sekta zote za huduma zitakwama maana ccm walisha uza nchi marekani. bajeti yetu inategemea wahisani pamoja na rasilimali tulizo nazo. aibu. vp kwa nn tusiwang'oe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.