Ukimwi unatisha jamani, muhim kuwa waaminifu maana mnaweza mkapima kabla na kwenda kavu kavu baadae mmoja au wote mnaanza kuchepuka inakua ni kutwanga maji kwenye kinu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.